Product name:
Jiko Tachi
Waterproof:
Yes
Seller type:
Personal
Origin:
Yes
Brand Name:
Smart cooker
Condition:
Brand New
Color:
Black
Purpose:
Wanted
Model Year:
2023
Description:
- Jiko hili ni induction cooker
Hii ni German technology
Sifa ya jiko hili
1.Hili jiko lina pika kwa speed zaidi ya gesi
2.lina kuonesha umeme unao tumia.
3.lina tumia unit 1 kwa saa 1
4.sufuria haipati moto unaweza kusonga ugali huku umeshika sufuria na huungui
5.Nisalama kwa familia hata ukiweka katatasi haishiki moto
6.Ni jiko zuri kwa kufundishia mtoto wako maana halimuunguzi mtoto maana lina ivisha kile kinacho pikwa
7.Lina function ya kupika vitu tofauti kwa moto unao stahili
8.Lina pika kwa muda unaweza kuseti muda wa kupika likimaliza Muda huo linajizima
9.Lina pika kwa speed unayo taka
10.Haliruhusu nguo karatasi nyumba kuwaka moto
11.Hili jiko halichafui sufuria yako
12.Lina tumia sufuria za chuma tuu na sufuria za non stick Kwa sababu ya tecknolojia yake ya kupitisha moto kwa njia ya mawimbi ya sumaku yani magnetic wave
Karibu sana utumie tecknolojia
Ya nishati safi ya kupikia inayo tumia umeme kidogo kwa ufanisi mkubwa na usalama wako na mali zako karibu tukuhudumie.
Contact Information
Price:
Tsh.150,000
Categories:
Home & Lifestyle
Phone:
0712344357
Address:
Arusha university,
Dar es salaam,
ARUSHA, 1328
Dar es salaam,
ARUSHA, 1328
Email:
eliyakikula7@gmail.com